# Jifunze Ku-Trade na Wazoefu
Jiandikishe Leo Kwenye Academy Na. 1 ya Elimu ya Forex Trading- Tanzania
Anza safari yako leo ya FOREX TRADING na ARITEX CAPITAL. Jiandikishe leo kwenye kozi zetu makini za Forex Trading, ukizipata kwa njia ya mtandao kwa walio maeneo mengine ya Tanzania au ofisini kwa wale walio jijini Dar es Salaam. Kozi zetu za Forex Trading zinawafaa wanafunzi wa levels zote, kuanzia wale wanaoanza safari yao ya trading na wale wenye uzoefu ila hawajaanza kutengeza faida sokoni.
“Binafsi nimekua nikitumia huduma za ARITEX CAPITAL kwa mwaka mzima uliopita, na kiukweli zimebadirisha jinsi ninavyo-trade na kuyaona masoko”- Moreen
Aritex Capital
Kutana na Timu Yetu ya Wazoefu
Timu yetu inajumuisha traders wazoefu na wafundishaji mahili wenye mapenzi ya ku-share mahaarifa na ujuzi walionao kwenye masoko ya forex. Traders wetu wenye uzoefu wa miaka mingi kwenye masoko ya forex kwa ku-trade na kufundisha pia wanazo mbinu na ujuzi utakaokusaidia kwenye safari yako ya trading mpaka unafikia hatua ya kupata faida sokoni. Wamejizatiti kukusaidia kwa kukupatia support ya karibu, mahaarifa kwenye ‘live’ market na mbinu zote zinazotumiwa za kisasa kukusaidia wewe kulielewa na kunufaika na soko la forex trading.
Arold Rugambwa
Mwanzilishi na Mkurungezi Mtendaji
Johnson Ladislaus
Analyst & Instructor
Jiunge na 'profitable traders'
Pata mbinu mpya na nufaika na ‘Copy Trading’. Unganisha, Jifunze na Tafiti fursa za Trading na ARITEX CAPITAL.
Nufaika na mwongozo wetu, mbinu mbalimbali za trading na support ya PAPO KWA HAPO kupitia kozi zetu za Forex Trading.
Tunaamini katika kuwawezesha traders wetu na mahaarifa, vitendea kazi na support wanayohitaji katika masoko ya forex.
Huduma za Mafunzo Yetu ya Forex
Huduma zetu za mafunzo ya forex trading tumezitengeneza katika program ya kuhakikisha traders wetu wana-trade wenyewe hadi kufikia hatua ya kutengeneza faida sokoni. Tunaamini katika program za ufundishaji za muda mrefu.
Huduma ya ‘Mentorship’ kwa Wanafunzi wetu
Tunahakikisha tunakushika mkono kwa zaidi ya miezi mitatu mpaka mwaka mmoja baada ya mafunzo ya awali. Tunafanya hivi tukiamini biashara ya forex inahitaji muda mrefu wa kujifunza na kufanya mwenyewe kabla ya kuanza kutengeneza faida sokoni. Katika kipindi chote hiki, tutajibu maswali yako, tuta-trade na wewe kwenye ‘live’ markets na kukupa ‘insights’ za kila siku za masoko ya forex
Nyakati za Ku-trade ‘LIVE’ na Huduma ya ‘signals’ za Forex
Jumuika nasi kwenye vipindi vyetu vya ku-trade ‘live markets’ na wanafunzi wetu vitakavyokusaidia kuongeza ujuzi na mahaarifa ya jinsi unavyolichambua soko na kuingia sokoni/ kwenye ‘trades’. Tutatrade pamoja ‘sessions’ za forex na nyakati za ‘news’ zenye ‘volatility’ kubwa sokoni kama NFP, CPI na FOMC
Nufaika na ‘trading signals’ zetu za uhakika, tunazozituma kwa kumuelewesha mwanafunzi uchambuzi wake na kwanini kwa wakati huo tuna-buy au ku-sell ‘asset’ flan sokoni.
Ujuzi, Uhakika na Usaidizi
UNA MAHAARIFA YA KU-TRADE NA HUNA MTAJI? JIPATIE MTAJI LEO NA ATMOS
ATMOS ni prop firm inayotumia teknolojia yake ikiwawezasha traders na mitaji kwa gharama nafuu. ATMOS ni (Broker Backed Prop Firm) inayotoa mifumo ya MT4 na MT5.
Nunua challenge leo na tutumie ujumbe tukusaidie ku-pass challenge yako na kua ‘funded’.
‘Packages’ zetu za mafunzo kwa aina tofauti ya wanafunzi wetu wote
Jiunge na program zetu za mafunzo uwe ‘expert’ kwenye forex trading, program zetu tumezitengeneza kukurahisishia uchambuzi sokoni, jinsi ya kuzingatia ‘risk’ kabla hujaingia sokoni na jinsi ya kufikiria na ku-act unavokua sokoni. Chagua program yako leo kulingana na hatua uliyopo kwenye safari yako ya forex trading na sisi tutakusaidia ufikie mafanikio ya kutengeneza faida sokoni.
Gharama za Kozi Zetu
Kozi ya Bure
Wanafunzi Wanaonza/Wapya (wasiojua kabisa kuhusu forex)
TZS 0
/kwa siku 2
Hii ni Maalumu kwa
Wanafunzi wanaoanza/wapya
- Deposit TZS 250,000 kwenye akaunti yako ya Broker
- Utajifunza Mafunzo ya Awali ya Forex Trading
- Utajifunza Kuipangilia vyema na Kuitumia MT4/5
- Utajifunza kuipangilia vyema na kuitumia Tradingview
- Kujifunza na kuzielewa session za Forex Trading
Wanafunzi wa Kati
Wanafunzi wanaohitaji kufanya Forex Trading kama ‘part time business’
TZS 500,000/-
/mwezi
Hii ni Maalumu kwa:
Wanafunzi wanaohitaji kua ‘part-time Traders’
- Deposit TZS 600,000 kwenye akaunti ya Broker
- Utajifunza Kiundani mbinu (strategies) za Forex Trading
- Utajifunza uchambuzi na jinsi ya ku-trade NEWS
- Utajifunza kutumia vitendea kazi (tools) tofauti vya Forex
- Uta-trade nasi 'LIVE MARKETS' mara moja kwa week
- Utapata 'MENTORSHIP' ya miezi MIWILI baada ya mafunzo
- Utajifunza jinsi ya ku-manage ‘psychology’ wakati wa trading
Wanafunzi wanaotaka kua 'Full-Time Traders'
Wanafunzi wanaohitaji kufanya Forex Trading ‘Full Time’
TZS 1,000,000
/mwezi
Hii ni Maalumu kwa:
Wanafunzi wanaohotaji kua ‘FULL TIME TRADERS’
- Deposit TZS 1,250,000 kwenye akaunti yako ya Broker
- Session mbili za ku-trade na sisi 'LIVE MARKETS' mara mbili kwa week
- Utajifunza vitendea kazi vya ku-manage 'portifolio' yako
- Utajifunza jinsi ya ku-pass na ku-manage 'prop-firm account'
- Utajifunza 'scalping' na 'intra-day' Trading
- Utajifunza 'swing' na 'position trading'
- Utapata 'MENTORSHIP' ya miezi SITA baada ya kumaliza kozi
- Utajifunza jinsi ya ku-manage ‘psychology’ wakati wa trading